Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 16:11 - Swahili Revised Union Version

11 Mizani ya haki na vitanga vyake ni vya BWANA; Mawe yote ya mfukoni ni kazi yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mwenyezi-Mungu hutaka kipimo na mizani halali; mawe yote mfukoni ya kupimia ni kazi yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mwenyezi-Mungu hutaka kipimo na mizani halali; mawe yote mfukoni ya kupimia ni kazi yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mwenyezi-Mungu hutaka kipimo na mizani halali; mawe yote mfukoni ya kupimia ni kazi yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Mwenyezi Mungu; mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Vipimo na mizani za halali hutoka kwa bwana; mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Mizani ya haki na vitanga vyake ni vya BWANA; Mawe yote ya mfukoni ni kazi yake.

Tazama sura Nakili




Methali 16:11
9 Marejeleo ya Msalaba  

Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.


Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA.


Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema.


Mtakuwa na mizani ya haki, na efa ya haki, na bathi ya haki.


Ni mfanya biashara, aliye na mizani ya udanganyifu mkononi mwake; anapenda kudhulumu.


mkisema, Mwezi mpya utaondoka lini, tupate kuuza nafaka? Na sabato nayo, tupate kuandaa ngano? Mkiipunguza efa na kuiongeza shekeli, mkidanganya watu kwa mizani ya udanganyifu;


Je! Naweza kuwa safi nami nina mizani ya udhalimu, na mfuko wa mawe ya kupimia ya udanganyifu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo