Methali 16:10 - Swahili Revised Union Version10 Kukata maneno huwa katika midomo ya mfalme; Kinywa chake hakitakosa katika hukumu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mfalme huamua kwa maongozi ya Mungu; anapotoa hukumu hakosei. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mfalme huamua kwa maongozi ya Mungu; anapotoa hukumu hakosei. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mfalme huamua kwa maongozi ya Mungu; anapotoa hukumu hakosei. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, wala kinywa chake hakipotoshi haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, wala kinywa chake hakipotoshi haki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Kukata maneno huwa katika midomo ya mfalme; Kinywa chake hakitakosa katika hukumu. Tazama sura |