Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 16:9 - Swahili Revised Union Version

9 Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali BWANA huziongoza hatua zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mtu aweza kufanya mipango yake, lakini Mwenyezi-Mungu huongoza hatua zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mtu aweza kufanya mipango yake, lakini Mwenyezi-Mungu huongoza hatua zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mtu aweza kufanya mipango yake, lakini Mwenyezi-Mungu huongoza hatua zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali Mwenyezi Mungu huelekeza hatua zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali bwana huelekeza hatua zake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali BWANA huziongoza hatua zake.

Tazama sura Nakili




Methali 16:9
11 Marejeleo ya Msalaba  

Basi kuangamia kwake Ahazia kulitokana na Mungu, kwa vile alivyomwendea Yoramu; kwa kuwa alipofika, akatoka pamoja na Yoramu juu ya Yehu mwana wa Nimshi, ambaye BWANA alimtia mafuta ili awakatilie mbali nyumba ya Ahabu.


Hatua za mtu mwema huimarishwa na BWANA, Naye huipenda njia yake.


Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.


Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.


Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la BWANA ndilo litakalosimama.


Mwenendo wa mtu watoka kwa BWANA; Basi, awezaje mtu kuelewa na njia yake?


Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza popote apendapo.


Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.


nitangazaye mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado; nikisema, Shauri langu litasimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote.


Ee BWANA, najua ya kuwa njia ya mwanadamu haimo katika nafsi yake; kuelekeza hatua zake si katika uwezo wa mwanadamu.


Kesho, wakati kama huu, nitakuletea mtu kutoka nchi ya Benyamini, nawe mtie mafuta ili awe mkuu juu ya watu wangu Israeli, naye atawaokoa watu wangu na mikono ya Wafilisti; maana nimewaangalia watu wangu, kwa sababu kilio chao kimenifikia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo