Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 20:23 - Swahili Revised Union Version

23 Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, na vipimo visivyo halali ni kitu kibaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Mwenyezi Mungu anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Vipimo mbalimbali ni chukizo kwa BWANA; Tena mizani ya hila si njema.

Tazama sura Nakili

Methali 20:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.

Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA.

Mtakuwa na mizani ya haki, na efa ya haki, na bathi ya haki.

Ni mfanya biashara, aliye na mizani ya udanganyifu mkononi mwake; anapenda kudhulumu.

mkisema, Mwezi mpya utaondoka lini, tupate kuuza nafaka? Na sabato nayo, tupate kuandaa ngano? Mkiipunguza efa na kuiongeza shekeli, mkidanganya watu kwa mizani ya udanganyifu;

Usiwe na mawe ya kupimia mbalimbali, kubwa na dogo, katika mfuko wako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo