Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 20:24 - Swahili Revised Union Version

24 Mwenendo wa mtu watoka kwa BWANA; Basi, awezaje mtu kuelewa na njia yake?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi-Mungu; awezaje binadamu kujua njia ya kwenda?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi-Mungu; awezaje binadamu kujua njia ya kwenda?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi-Mungu; awezaje binadamu kujua njia ya kwenda?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Hatua za mtu huongozwa na Mwenyezi Mungu. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Hatua za mtu huongozwa na bwana. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe?

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 Mwenendo wa mtu watoka kwa BWANA; Basi, awezaje mtu kuelewa na njia yake?

Tazama sura Nakili




Methali 20:24
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ni nani amchaye BWANA? Atamfundisha katika njia anayoichagua.


Ee BWANA, unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako,


Hatua za mtu mwema huimarishwa na BWANA, Naye huipenda njia yake.


Akili za mwenye busara ni kujua njia yake; Lakini upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu.


Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.


Moyo wa mtu huifikiri njia yake; Bali BWANA huziongoza hatua zake.


Ee BWANA, najua ya kuwa njia ya mwanadamu haimo katika nafsi yake; kuelekeza hatua zake si katika uwezo wa mwanadamu.


Bali umejiinua juu ya Bwana wa mbingu; nao wamevileta vyombo vya nyumba yake mbele yako; na wewe, na wakuu wako, na wake zako, na masuria wako, mmevinywea; nawe umeisifu miungu ya fedha na ya dhahabu na ya shaba, na ya chuma, na ya mti, na ya mawe; wasioona, wala kusikia, wala kujua neno lolote; na Mungu yule, ambaye pumzi yako i mkononi mwake, na njia zako zote ni zake, hukumtukuza.


Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazawa wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo