Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 20:22 - Swahili Revised Union Version

22 Usiseme, Mimi nitalipa mabaya; Mngojee BWANA, naye atakuokoa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Usiseme, “Nitalipiza ubaya niliotendewa.” Mtegemee Mwenyezi-Mungu naye atakusaidia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Usiseme, “Nitalipiza ubaya niliotendewa.” Mtegemee Mwenyezi-Mungu naye atakusaidia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Usiseme, “Nitalipiza ubaya niliotendewa.” Mtegemee Mwenyezi-Mungu naye atakusaidia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” Mngojee Mwenyezi Mungu, naye atakuokoa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” Mngojee bwana, naye atakuokoa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Usiseme, Mimi nitalipa mabaya; Mngojee BWANA, naye atakuokoa.

Tazama sura Nakili




Methali 20:22
19 Marejeleo ya Msalaba  

Labda BWANA atayaangalia mabaya yaliyonipata, naye BWANA atanilipa mema kwa sababu ya kunilaani kwake leo.


Umtumainie BWANA, uwe imara, Upige moyo konde, naam, umngoje BWANA.


Wewe umngoje BWANA, Uishike njia yake, Naye atakutukuza uirithi nchi, Utawaona Wasio haki wakiangamizwa.


Naye BWANA huwasaidia na kuwaopoa; Huwaopoa kutoka kwa wasio haki na kuwaponya; Kwa kuwa wamemtumaini Yeye.


Yeye arudishaye mabaya badala ya mema, Mabaya hayataondoka nyumbani mwake.


Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa.


Urithi uliopatikana mwanzo kwa haraka, Mwisho wake, lakini, hautabarikiwa.


Usiseme, Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; Nitamlipa mtu huyo sawasawa na tendo lake.


bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.


Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.


Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.


Kisasi ni changu mimi, na kulipa, Wakati itakapoteleza miguu yao; Maana siku ya msiba wao imekaribia, Na mambo yatakayowapata yatafanya haraka.


Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.


Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutisha; bali alijikabidhi kwake yeye ahukumuye kwa haki.


watu wasiolipa baya kwa baya, au laumu kwa laumu; bali wenye kubariki; kwa sababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.


Basi wao wateswao kwa mapenzi ya Mungu na wamwekee amana roho zao, katika kutenda mema, kama kwa Muumba mwaminifu.


Kisha Daudi akawaambia watu wake, Haya! Jifungeni kila mtu upanga wake. Nao wakajifunga kila mtu upanga wake; Daudi naye akajifunga upanga wake; nao wakapanda nyuma yake Daudi, wakiwa kama watu mia nne; na watu mia mbili wakakaa na vyombo vyao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo