Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda; Midomo yetu ni yetu wenyewe, Ni nani aliye bwana juu yetu?
Methali 10:31 - Swahili Revised Union Version Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima; Bali ulimi wa ukaidi utakatiliwa mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kinywa cha mwadilifu hutoa mambo ya hekima, lakini ulimi wa mtu mbaya utakatiliwa mbali. Biblia Habari Njema - BHND Kinywa cha mwadilifu hutoa mambo ya hekima, lakini ulimi wa mtu mbaya utakatiliwa mbali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kinywa cha mwadilifu hutoa mambo ya hekima, lakini ulimi wa mtu mbaya utakatiliwa mbali. Neno: Bibilia Takatifu Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, bali ulimi wa upotovu utakatwa. Neno: Maandiko Matakatifu Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, bali ulimi wa upotovu utakatwa. BIBLIA KISWAHILI Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima; Bali ulimi wa ukaidi utakatiliwa mbali. |
Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda; Midomo yetu ni yetu wenyewe, Ni nani aliye bwana juu yetu?
Midomo ya uongo iwe na ububu, Imneneayo mwenye haki maneno ya kiburi, Kwa majivuno na dharau.
Bali mfalme atamfurahia Mungu, Kila aapaye kwa Yeye atashangilia, Kwa maana vinywa vya waongo vitafumbwa.
Kinywa chake mwenye haki ni chemchemi ya uzima; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu,
Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu; Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu.
Mtu mwenye moyo wa ukaidi hatapata mema; Na mwenye ulimi wa upotovu huanguka katika misiba.