Zaburi 12:4 - Swahili Revised Union Version4 Waliosema, Kwa ndimi zetu tutashinda; Midomo yetu ni yetu wenyewe, Ni nani aliye bwana juu yetu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wao husema: “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo tunayo, nani awezaye kututawala?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wao husema: “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo tunayo, nani awezaye kututawala?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wao husema: “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo tunayo, nani awezaye kututawala?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?” Tazama sura |
Basi sasa, kama mkiwa tayari wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zumari, na namna zote za ngoma, kuanguka na kuisujudia sanamu niliyoisimamisha, ni vema; bali msipoisujudia, mtatupwa saa iyo hiyo katika tanuri liwakalo moto; naye ni nani Mungu yule atakayewaokoa ninyi mikononi mwangu?