Mathayo 27:14 - Swahili Revised Union Version Asimjibu hata neno moja, hata mtawala akastaajabu sana. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa akashangaa sana. Neno: Bibilia Takatifu Lakini Isa hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Isa hakumjibu hata kwa shtaka moja, kiasi kwamba mtawala alishangaa sana. BIBLIA KISWAHILI Asimjibu hata neno moja, hata mtawala akastaajabu sana. |
Angalieni, mimi na watoto hawa niliopewa na BWANA tu ishara na ajabu katika Israeli, zitokazo kwa BWANA wa majeshi, yeye akaaye katika mlima Sayuni.
Sikiliza sasa, Ee Yoshua, kuhani mkuu, wewe na wenzako wanaoketi mbele yako; maana hao ni watu walio ishara ya mambo yajayo; kwa maana, tazama, ninamleta mtumishi wangu, aitwaye Chipukizi.
Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.
Akaingia tena ndani ya ile Praitorio, akamwambia Yesu, Wewe umetoka wapi? Lakini Yesu hakumpa jibu lolote.
Maana nadhani ya kuwa Mungu ametutoa sisi mitume mwisho, kama watu waliohukumiwa wauawe; kwa sababu tumekuwa tamasha kwa dunia; kwa malaika na wanadamu.