Mathayo 27:13 - Swahili Revised Union Version13 Ndipo Pilato akamwambia, Husikii ni mambo mangapi wanayoshuhudia juu yako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hivyo Pilato akamwuliza, “Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ndipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ndipo Pilato akamuuliza, “Je, husikii ni mambo mangapi wanayokushtaki nayo?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Ndipo Pilato akamwambia, Husikii ni mambo mangapi wanayoshuhudia juu yako? Tazama sura |