Mathayo 27:12 - Swahili Revised Union Version12 Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini makuhani wakuu na wazee walipokuwa wanamshtaki, hakujibu neno. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini makuhani wakuu na wazee walipokuwa wanamshtaki, hakujibu neno. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini makuhani wakuu na wazee walipokuwa wanamshtaki, hakujibu neno. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini viongozi wa makuhani na wazee walipomshtaki, hakujibu neno. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Lakini aliposhitakiwa na wakuu wa makuhani na wazee, hakujibu hata neno. Tazama sura |