Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwamwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
Mathayo 22:22 - Swahili Revised Union Version Waliposikia, walistaajabu, wakamwacha, wakaenda zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao. Biblia Habari Njema - BHND Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao. Neno: Bibilia Takatifu Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao. Neno: Maandiko Matakatifu Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao. BIBLIA KISWAHILI Waliposikia, walistaajabu, wakamwacha, wakaenda zao. |
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwamwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu yeyote tangu siku ile kumwuliza neno tena.
Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa yeyote katika Israeli.
Nao wakataka kumkamata, wakaogopa mkutano; maana walitambua ya kwamba ule mfano amewanenea wao. Wakamwacha wakaenda zao.
kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu wote hawataweza kushindana nayo wala kuipinga.
Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolezwa chumvi, ili mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.