Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 22:23 - Swahili Revised Union Version

23 Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Siku hiyo hiyo Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa na kumuuliza swali, wakisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Siku hiyo hiyo Masadukayo, wale wasemao kwamba hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa na kumuuliza swali, wakisema,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Siku ile Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:23
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Angalieni, jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.


Na alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake, aliwaambia, Enyi wazawa wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?


Hata walipokuwa wakisema na watu wale, makuhani na walinzi wa hekalu na Masadukayo wakawatokea,


Akaondoka Kuhani Mkuu na wote waliokuwa pamoja naye, (hao ndio walio wa madhehebu ya Masadukayo), wamejaa wivu,


waliopotoka kutoka kwenye kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha tokea, hata kuipindua imani ya watu kadhaa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo