Mathayo 22:46 - Swahili Revised Union Version46 Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu yeyote tangu siku ile kumwuliza neno tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Isa neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Isa neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI46 Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu yeyote tangu siku ile kumwuliza neno tena. Tazama sura |