Mathayo 22:33 - Swahili Revised Union Version33 Na makutano waliposikia, walishangaa kwa mafunzo yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Wale umati wa watu waliposikia hayo, walishangaa sana kwa mafundisho yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Ule umati wa watu uliposikia hayo, ulishangaa sana kwa mafundisho yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Na makutano waliposikia, walishangaa kwa mafunzo yake. Tazama sura |