Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande katika mashua na kutangulia mbele yake kwenda ng'ambo, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano.
Mathayo 15:39 - Swahili Revised Union Version Akawaaga makutano, akapanda katika mashua, akaenda pande za Magadani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya kuaga umati wa watu, Isa aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya kuaga ule umati wa watu, Isa aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani. BIBLIA KISWAHILI Akawaaga makutano, akapanda katika mashua, akaenda pande za Magadani. |
Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande katika mashua na kutangulia mbele yake kwenda ng'ambo, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano.
Akawaambia wanafunzi wake ya kwamba mashua ndogo ikae karibu naye, kwa sababu ya mkutano, wasije wakamsonga.