Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 15:39 - Swahili Revised Union Version

39 Akawaaga makutano, akapanda katika mashua, akaenda pande za Magadani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Baada ya kuaga umati wa watu, Isa aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Baada ya kuaga ule umati wa watu, Isa aliingia katika mashua, akaenda sehemu za Magadani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

39 Akawaaga makutano, akapanda katika mashua, akaenda pande za Magadani.

Tazama sura Nakili

Mathayo 15:39
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande katika mashua na kutangulia mbele yake kwenda ng'ambo, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano.

Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Akawaambia wanafunzi wake ya kwamba mashua ndogo ikae karibu naye, kwa sababu ya mkutano, wasije wakamsonga.

Mara akapanda katika mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda pande za Dalmanutha.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo