Mathayo 16:1 - Swahili Revised Union Version1 Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara itokayo mbinguni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mafarisayo na Masadukayo wakamjia Isa na kumjaribu kwa kumwomba awaoneshe ishara kutoka mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mafarisayo na Masadukayo wakamjia Isa na kumjaribu kwa kumwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara itokayo mbinguni. Tazama sura |