Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 16:2 - Swahili Revised Union Version

2 Akajibu, akawaambia, [Jioni ikifika, mnasema, hali ya anga itakuwa mzuri; kwa kuwa mbingu ni nyekundu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Lakini Yesu akawajibu, [“Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Lakini Yesu akawajibu, [“Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Lakini Yesu akawajibu, “Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Isa akawajibu, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Isa akawajibu, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; kwa maana mbingu ni nyekundu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 16:2
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na asubuhi, mnasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mnajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! Ishara za nyakati hizi hamwezi kuzitambua?]


Tufuate:

Matangazo


Matangazo