Marko 8:10 - Swahili Revised Union Version10 Mara akapanda katika mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda pande za Dalmanutha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 na mara akapanda mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda wilaya ya Dalmanutha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 na mara akapanda mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda wilaya ya Dalmanutha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 na mara akapanda mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda wilaya ya Dalmanutha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 aliingia kwenye mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda sehemu za Dalmanutha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 aliingia kwenye mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda sehemu za Dalmanutha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Mara akapanda katika mashua pamoja na wanafunzi wake, akaenda pande za Dalmanutha. Tazama sura |