Mathayo 14:1 - Swahili Revised Union Version Wakati ule mfalme Herode alisikia habari za Yesu, akawaambia watumishi wake, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati huo, mtawala Herode alisikia sifa za Yesu. Biblia Habari Njema - BHND Wakati huo, mtawala Herode alisikia sifa za Yesu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati huo, mtawala Herode alisikia sifa za Yesu. Neno: Bibilia Takatifu Wakati huo, Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za Isa, Neno: Maandiko Matakatifu Wakati huo, Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za Isa, BIBLIA KISWAHILI Wakati ule mfalme Herode alisikia habari za Yesu, akawaambia watumishi wake, |
Akawaagiza, akasema, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.
wala hata Herode, kwa maana amemrudisha kwetu; basi tazama, hakuna neno lolote alilolitenda lipasalo kufa.
Mwaka wa kumi na tano wa kutawala kwake Kaisari Tiberio, Pontio Pilato alipokuwa mtawala wa Yudea, na Herode mfalme wa Galilaya, na Filipo, ndugu yake, mfalme wa Iturea na nchi ya Trakoniti, na Lisania mfalme wa Abilene,
Lakini mfalme Herode alipokaripiwa na yeye kwa ajili ya Herodia, mke wa nduguye, na maovu yote aliyoyafanya Herode,
na Yoana mkewe Kuza, wakili wake Herode, na Susana, na wengine wengi, waliokuwa wakimhudumia kwa mali zao.
Karibu wakati ule ule, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.
Na huko Antiokia katika kanisa lililokuwako palikuwa na manabii na waalimu, nao ni Barnaba, na Simeoni aitwaye Nigeri, na Lukio Mkirene, na Manaeni aliyekuwa ndugu wa kulelewa wa mfalme Herode, na Sauli.
Maana ni kweli, Herode na Pontio Pilato pamoja na Mataifa na watu wa Israeli, walikusanyika katika mji huu juu ya Mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta,