Matendo 12:1 - Swahili Revised Union Version1 Karibu wakati ule ule, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini wa Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Panapo majira yale yale, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa. Tazama sura |