Mathayo 13:9 - Swahili Revised Union Version Mwenye masikio na asikie. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenye masikio na asikie!” Biblia Habari Njema - BHND Mwenye masikio na asikie!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenye masikio na asikie!” Neno: Bibilia Takatifu Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” Neno: Maandiko Matakatifu Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” BIBLIA KISWAHILI Mwenye masikio na asikie. |
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.