Mathayo 13:16 - Swahili Revised Union Version16 Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Lakini heri yenu nyinyi, maana macho yenu yanaona na masikio yenu yanasikia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Lakini, heri macho yenu, kwa kuwa yanaona; na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia. Tazama sura |