Marko 8:8 - Swahili Revised Union Version Wakala, wakashiba, wakakusanya mabaki ya vipande vya mikate vikapu saba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Biblia Habari Njema - BHND Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Neno: Bibilia Takatifu Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Neno: Maandiko Matakatifu Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. BIBLIA KISWAHILI Wakala, wakashiba, wakakusanya mabaki ya vipande vya mikate vikapu saba. |
Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.
Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; ambacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa mhuri na Baba, yaani, Mungu.