Marko 8:7 - Swahili Revised Union Version7 Walikuwa na visamaki vichache; akavibariki, akasema wawagawie na hivyo pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Walikuwa pia na visamaki vichache, Isa akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Walikuwa pia na visamaki vichache, Isa akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Walikuwa na visamaki vichache; akavibariki, akasema wawagawie na hivyo pia. Tazama sura |