Marko 8:8 - Swahili Revised Union Version8 Wakala, wakashiba, wakakusanya mabaki ya vipande vya mikate vikapu saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Wakala, wakashiba, wakakusanya mabaki ya vipande vya mikate vikapu saba. Tazama sura |