Mathayo 15:37 - Swahili Revised Union Version37 Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Wakala wote wakashiba; wakayaokota mabaki ya vipande vya mikate makanda saba, yamejaa. Tazama sura |