Marko 4:9 - Swahili Revised Union Version Akasema, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!” Biblia Habari Njema - BHND Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akawaambia, “Mwenye masikio na asikie!” Neno: Bibilia Takatifu Kisha Isa akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Isa akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” BIBLIA KISWAHILI Akasema, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie. |
Naye alipokuwa peke yake, wale watu waliomzunguka, na wale Kumi na Wawili, walimwuliza kuhusu ile mifano.
Nyingine zikaanguka penye udongo ulio mzuri, zikazaa matunda, zikimea na kukua, na kuzaa, moja thelathini, moja sitini, na moja mia.
Jiangalieni basi jinsi msikiavyo; kwa kuwa mwenye kitu atapewa, na yule asiye na kitu atanyang'anywa hata kile ambacho anadhaniwa kuwa nacho.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.