Luka 20:23 - Swahili Revised Union Version Lakini yeye alitambua hila yao, akawaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alitambua mtego wao, akawaambia, Biblia Habari Njema - BHND Yesu alitambua mtego wao, akawaambia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alitambua mtego wao, akawaambia, Neno: Bibilia Takatifu Lakini Isa akatambua hila yao, akawaambia, Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Isa akatambua hila yao, kwa hiyo akawaambia, BIBLIA KISWAHILI Lakini yeye alitambua hila yao, akawaambia, |
Wakamjia Mafarisayo na Masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaoneshe ishara itokayo mbinguni.
Wakamviziavizia, wakatuma wapelelezi waliojifanya kuwa watu wa haki, ili wamnase katika maneno yake, wapate kumtia katika enzi na mamlaka ya mtawala.
Lakini yeye akayatambua mawazo yao, akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, Ondoka, simama katikati; akaondoka akasimama.
akasema, Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyooka?
Maana hekima ya dunia hii ni upuzi mbele za Mungu. Kwa maana imeandikwa, Yeye ndiye awanasaye wenye hekima katika hila yao.
ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa mafundisho, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.
Wala hakuna kiumbe kisichokuwa wazi mbele zake, maana vitu vyote ni tupu na kuwekwa wazi machoni pake yeye ambaye tunapaswa kuwajibika kwake.