Mathayo 22:18 - Swahili Revised Union Version18 Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini Isa alifahamu kusudi lao mbaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini Isa, akijua makusudi yao mabaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki? Tazama sura |