Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 22:19 - Swahili Revised Union Version

19 Nionesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Nionesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Nionesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari.

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Naye alipoingia nyumbani, Yesu alitangulia kumwuliza, akisema, Waonaje, Simoni? Wafalme wa dunia hutwaa kodi ama ushuru kwa watu gani? Kwa wana wao au kwa wageni?


Mtumwa yule akatoka, akamwona mmoja wa watumishi wake, aliyemwia dinari mia; akamkamata, akamkaba koo, akisema, Nilipe unachodaiwa.


Naye alipokwisha kupatana na wafanya kazi kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.


Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki?


Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii?


Wakaileta. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari.


Nikasikia kama sauti katikati ya hao wenye uhai wanne, ikisema, Kibaba cha ngano kwa nusu rupia, na vibaba vitatu vya shayiri kwa nusu rupia, wala usiyadhuru mafuta wala divai.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo