Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Luka 20:24 - Swahili Revised Union Version

24 Nionesheni dinari. Ina sura na anwani ya nani? Wakamjibu, Ya Kaisari.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 “Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 “Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 “Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 “Nionesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyo juu yake ni vya nani?” Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 “Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 Nionesheni dinari. Ina sura na anwani ya nani? Wakamjibu, Ya Kaisari.

Tazama sura Nakili




Luka 20:24
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mtumwa yule akatoka, akamwona mmoja wa watumishi wake, aliyemwia dinari mia; akamkamata, akamkaba koo, akisema, Nilipe unachodaiwa.


Naye alipokwisha kupatana na wafanya kazi kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.


Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii?


Wakaileta. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari.


Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.


Je! Ni halali tumpe Kaisari kodi, au sivyo?


Lakini yeye alitambua hila yao, akawaambia,


Akawaambia, Basi, vya Kaisari mpeni Kaisari, na vya Mungu mpeni Mungu.


Wakaanza kumshitaki, wakisema, Tumemwona huyu akipotosha taifa letu, na kuwazuia watu wasimpe Kaisari kodi, akisema kwamba yeye mwenyewe ni Kristo, mfalme.


Mwaka wa kumi na tano wa kutawala kwake Kaisari Tiberio, Pontio Pilato alipokuwa mtawala wa Yudea, na Herode mfalme wa Galilaya, na Filipo, ndugu yake, mfalme wa Iturea na nchi ya Trakoniti, na Lisania mfalme wa Abilene,


Na tulipokusanyika akasimama mmoja wao, jina lake Agabo, akaonesha kwa uweza wa Roho Mtakatifu kwamba njaa kubwa itakuja karibu katika dunia nzima, nayo ikatukia katika siku za Klaudio.


Agripa akamwambia Festo, Mtu huyo angeweza kufunguliwa, kama asingalitaka rufani kwa Kaisari.


Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wao walio wa nyumbani mwa Kaisari.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo