Hesabu 26:7 - Swahili Revised Union Version Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tatu, mia saba na thelathini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hizo ndizo koo za kabila la Reubeni. Idadi ya wanaume waliohesabiwa ni 43,730. Biblia Habari Njema - BHND Hizo ndizo koo za kabila la Reubeni. Idadi ya wanaume waliohesabiwa ni 43,730. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hizo ndizo koo za kabila la Reubeni. Idadi ya wanaume waliohesabiwa ni 43,730. Neno: Bibilia Takatifu Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na tatu mia saba na thelathini (43,730). Neno: Maandiko Matakatifu Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa 43,730. BIBLIA KISWAHILI Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na tatu, mia saba na thelathini. |
wale waliohesabiwa katika kabila la Reubeni, walikuwa watu elfu arubaini na sita na mia tano (46,500) mmoja mmoja.
Ikawa baada ya hilo pigo, BWANA akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia,
Na wana wa Peresi walikuwa; wa Hesroni, jamaa ya Wahesroni; wa Hamuli, jamaa ya Wahamuli.