Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 26:1 - Swahili Revised Union Version

1 Ikawa baada ya hilo pigo, BWANA akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya yale maradhi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya yale maradhi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya yale maradhi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Eleazari mwana wa kuhani Aroni,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya hiyo tauni, Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Eleazari mwana wa kuhani Haruni,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya hiyo tauni, bwana akamwambia Musa na Eleazari mwana wa kuhani Haruni,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Ikawa baada ya hilo pigo, BWANA akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia,

Tazama sura Nakili

Hesabu 26:1
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kama BWANA alivyomwagiza Musa, ndivyo alivyowahesabu huko katika jangwa la Sinai.

kwa sababu wao wawasumbua ninyi kwa hila zao, ambazo kwa hizo wamewadanganya ninyi katika jambo la Peori, na katika jambo la huyo Kozbi, binti wa mkuu wa Midiani, dada yao, huyo aliyeuawa siku hiyo ya pigo katika jambo la Peori.

Nao waliokufa kwa pigo hilo idadi yao ilikuwa elfu ishirini na nne.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo