Hesabu 1:21 - Swahili Revised Union Version21 wale waliohesabiwa katika kabila la Reubeni, walikuwa watu elfu arubaini na sita na mia tano (46,500) mmoja mmoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 walikuwa watu 46,500. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 walikuwa watu 46,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 walikuwa watu 46,500. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu elfu arobaini na sita na mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 wale waliohesabiwa katika kabila la Reubeni, walikuwa watu elfu arobaini na sita na mia tano (46,500) mmoja mmoja. Tazama sura |