Hesabu 26:7 - Swahili Revised Union Version7 Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tatu, mia saba na thelathini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hizo ndizo koo za kabila la Reubeni. Idadi ya wanaume waliohesabiwa ni 43,730. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hizo ndizo koo za kabila la Reubeni. Idadi ya wanaume waliohesabiwa ni 43,730. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hizo ndizo koo za kabila la Reubeni. Idadi ya wanaume waliohesabiwa ni 43,730. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na tatu mia saba na thelathini (43,730). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Hizi zilikuwa ndizo koo za Reubeni; wale waliohesabiwa walikuwa 43,730. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Hizi ndizo jamaa za Wareubeni; na hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na tatu, mia saba na thelathini. Tazama sura |