Hesabu 2:11 - Swahili Revised Union Version11 Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arubaini na sita na mia tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 46,500. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 46,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 46,500. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kundi lake lina watu elfu arobaini na sita na mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kundi lake lina watu 46,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arobaini na sita na mia tano. Tazama sura |