wale waliohesabiwa katika kabila la Asheri, walikuwa watu elfu arubaini na moja na mia tano (41,500).
Hesabu 2:28 - Swahili Revised Union Version na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arubaini na moja na mia tano; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 41,500. Biblia Habari Njema - BHND kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 41,500. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 41,500. Neno: Bibilia Takatifu Kundi lake lina watu elfu arobaini na moja na mia tano. Neno: Maandiko Matakatifu Kundi lake lina watu 41,500. BIBLIA KISWAHILI na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arobaini na moja na mia tano; |
wale waliohesabiwa katika kabila la Asheri, walikuwa watu elfu arubaini na moja na mia tano (41,500).
Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Asheri; na mkuu wa wana wa Asheri atakuwa Pagieli mwana wa Okrani;
Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne.