Hesabu 1:41 - Swahili Revised Union Version41 wale waliohesabiwa katika kabila la Asheri, walikuwa watu elfu arubaini na moja na mia tano (41,500). Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 walikuwa watu 41,500. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 walikuwa watu 41,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 walikuwa watu 41,500. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu elfu arobaini na moja na mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Idadi kutoka kabila la Asheri walikuwa watu 41,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 wale waliohesabiwa katika kabila la Asheri, walikuwa watu elfu arobaini na moja na mia tano (41,500). Tazama sura |