Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 2:28 - Swahili Revised Union Version

28 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arubaini na moja na mia tano;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 41,500.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 41,500.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 kikosi chake kulingana na hesabu kitakuwa na watu 41,500.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Kundi lake lina watu elfu arobaini na moja na mia tano.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Kundi lake lina watu 41,500.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arobaini na moja na mia tano;

Tazama sura Nakili




Hesabu 2:28
4 Marejeleo ya Msalaba  

wale waliohesabiwa katika kabila la Asheri, walikuwa watu elfu arubaini na moja na mia tano (41,500).


Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Asheri; na mkuu wa wana wa Asheri atakuwa Pagieli mwana wa Okrani;


kisha kabila la Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani;


Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo