Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 2:29 - Swahili Revised Union Version

29 kisha kabila la Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 “Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 “Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 “Hatimaye watu wa kabila la Naftali, kiongozi wake akiwa Ahira mwana wa Enani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Kabila la Naftali litafuata. Kiongozi wa watu wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 kisha kabila la Naftali; na mkuu wa wana wa Naftali atakuwa Ahira mwana wa Enani;

Tazama sura Nakili

Hesabu 2:29
9 Marejeleo ya Msalaba  

Raheli akasema, Kwa mashindano makuu nimeshindana na dada yangu, nikashinda. Akamwita jina lake Naftali.

Wa Naftali; Ahira mwana wa Enani.

Tena juu ya jeshi la kabila la wana wa Naftali ni Ahira mwana wa Enani.

na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu arubaini na moja na mia tano;

na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na tatu na mia nne.

Na siku ya kumi na mbili Ahira mwana wa Enani, mkuu wa wana wa Naftali;

tena kwa ajili ya dhabihu ya sadaka za amani, ng'ombe dume wawili, na kondoo dume watano, na mbuzi dume watano, na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja; hayo ndiyo matoleo ya Ahira mwana wa Enani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo