Hesabu 2:30 - Swahili Revised Union Version30 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na tatu na mia nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 kikosi chake kulingana na hesabu, kitakuwa na watu 53,400. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 kikosi chake kulingana na hesabu, kitakuwa na watu 53,400. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 kikosi chake kulingana na hesabu, kitakuwa na watu 53,400. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kundi lake lina watu elfu hamsini na tatu na mia nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kundi lake lina watu 53,400. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 na jeshi lake, na wale waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu hamsini na tatu na mia nne. Tazama sura |