Hesabu 26:47 - Swahili Revised Union Version47 Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Hizo ndizo koo za kabila la Asheri, jumla wanaume 53,400. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Hizo zilikuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa elfu hamsini na tatu na mia nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Asheri; wale waliohesabiwa walikuwa 53,400. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI47 Hawa ndio jamaa wa wana wa Asheri kama waliohesabiwa kwao, elfu hamsini na tatu na mia nne. Tazama sura |