Yohana 7:43 - Swahili Revised Union Version Basi kukaingia matengano katika mkutano kwa ajili yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu. Biblia Habari Njema - BHND Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Isa. BIBLIA KISWAHILI Basi kukaingia matengano katika mkutano kwa ajili yake. |
Je! Mwadhani ya kwamba nimekuja kuleta amani duniani? Nawaambia, La, sivyo, bali mafarakano.
Kukawa na manung'uniko mengi katika makutano juu yake. Wengine wakasema, Ni mtu mwema. Na wengine wakasema, Sivyo; bali anawadanganya makutano.
Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa na utengano kati yao.
Lakini jamii ya watu wa mjini wakafarakana; hawa walikuwa upande wa Wayahudi, na hawa upande wa mitume.