Matendo 14:4 - Swahili Revised Union Version4 Lakini jamii ya watu wa mjini wakafarakana; hawa walikuwa upande wa Wayahudi, na hawa upande wa mitume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watu wa mji huo waligawanyika: Wengine waliwaunga mkono Wayahudi, na wengine walikuwa upande wa mitume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watu wa mji huo waligawanyika: Wengine waliwaunga mkono Wayahudi, na wengine walikuwa upande wa mitume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watu wa mji huo waligawanyika: wengine waliwaunga mkono Wayahudi, na wengine walikuwa upande wa mitume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Lakini watu wa mji ule waligawanyika, wengine wakakubaliana na Wayahudi na wengine na mitume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Lakini watu wa mji ule waligawanyika, wengine wakakubaliana na Wayahudi na wengine na mitume. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Lakini jamii ya watu wa mjini wakafarakana; hawa walikuwa upande wa Wayahudi, na hawa upande wa mitume. Tazama sura |