Yohana 7:43 - Swahili Revised Union Version43 Basi kukaingia matengano katika mkutano kwa ajili yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Basi, kukatokea mafarakano juu yake katika ule umati wa watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI43 Basi kukaingia matengano katika mkutano kwa ajili yake. Tazama sura |