Yohana 6:25 - Swahili Revised Union Version Hata walipomwona ng'ambo ya bahari, walimwambia, Rabi, wewe umekuja lini hapa? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wale watu walipomkuta Yesu ngambo ya pili wa ziwa walimwuliza, “Mwalimu, ulifika lini hapa?” Biblia Habari Njema - BHND Wale watu walipomkuta Yesu ngambo ya pili wa ziwa walimwuliza, “Mwalimu, ulifika lini hapa?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wale watu walipomkuta Yesu ng'ambo ya pili wa ziwa walimwuliza, “Mwalimu, ulifika lini hapa?” Neno: Bibilia Takatifu Walipomkuta Isa ng’ambo ya bahari wakamuuliza, “Mwalimu, umefika lini huku?” Neno: Maandiko Matakatifu Walipomkuta Isa ng’ambo ya bahari wakamuuliza, “Mwalimu, umefika lini huku?” BIBLIA KISWAHILI Hata walipomwona ng'ambo ya bahari, walimwambia, Rabi, wewe umekuja lini hapa? |