Mathayo 23:8 - Swahili Revised Union Version8 Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Lakini nyinyi msiitwe kamwe ‘Mwalimu,’ maana mwalimu wenu ni mmoja tu, nanyi nyote ni ndugu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini nyinyi msiitwe kamwe ‘Mwalimu,’ maana mwalimu wenu ni mmoja tu, nanyi nyote ni ndugu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini nyinyi msiitwe kamwe ‘Mwalimu,’ maana mwalimu wenu ni mmoja tu, nanyi nyote ni ndugu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Lakini ninyi msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa sababu mnaye Bwana mmoja na ninyi nyote ni ndugu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Lakini ninyi msiitwe ‘Mwalimu,’ kwa sababu mnaye Bwana Mwenyezi mmoja, na ninyi nyote ni ndugu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Bali ninyi msiitwe Rabi, maana mwalimu wenu ni mmoja, nanyi nyote ni ndugu. Tazama sura |