Yohana 4:31 - Swahili Revised Union Version31 Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabi, ule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: “Mwalimu, kula chakula.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: “Mwalimu, kula chakula.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Wakati huohuo wanafunzi wake walikuwa wanamsihi Yesu: “Mwalimu, kula chakula.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Mwalimu, kula.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, “Mwalimu, kula angalau chochote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabi, ule. Tazama sura |